KNUN yadai kandarasi za kudumu kwa wauguzi wa UHC

  • | KBC Video
    20 views

    Muungano wa kitaifa wa wauguzi nchini katika miji ya Mombasa na Bugoma unataka serikali za kaunti hizo kuzingatia matakwa yao ikiwa wanataka wauguzi kurejea kazini. Wauguzi katika kaunti ya Mombasa wameanza mgomo wao leo huku wauguzi wa kaunti ya Bungoma wakiwa katika siku ya nne ya mgomo wao. Mwanahabari wetu Ann Mburu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive