Kocha bora wa mwezi atapokea shilingi laki moja baada ya mkataba na Betika

  • | NTV Video
    14 views

    Kocha bora wa kila mwezi katika michezo yote nchini atatunukiwa shilingi laki moja baada ya muungano wa wanahabari wa michezo ya Kenya SJAK kutia sahihi mkataba na kampuni ya Betika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya