Kongamano kuhusu ushirikiano baina ya Kenya na China laandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    71 views

    Kenya imekariri dhamira yake ya kuimarisha uhusiano baina ya Afrika na China na kuhakikisha kuwa juhudi zinazoendelea za ustawi wa bara Afrika, unatilia maanani maslahi ya watu na uendelevu. Akihutubia kongamano la ngazi za juu lililohudhuriwa na wawakilishi wa China na Afrika kuhusu ustawi jijini Nairobi leo, katibu katika wizara ya mashauri ya nchi za kigeni Dkt. Korir Sing'oei, alisema Kenya bado ina nia ya kutumia uzoefu wa kimaendeleo wa China kuendeleza ajenda yake ya ustawi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive