Kongamano la chama cha ushirika cha maafisa wa polisi lazinduliwa Mombasa

  • | Citizen TV
    331 views

    Kongamano la chama cha ushirika cha polisi limezinduliwa rasmi hilo linafanyika katika Kaunti ya Mombasa Maafisa wa Polisi wametakiwa kuwekeza na kuweka akiba.