Kongamano la magavana wanawake chini ya kikundi cha G7

  • | Citizen TV
    412 views

    Kundi la magavana saba la wanawake maarufu G7, walikongamana katika uwanja wa kenyatta mjini machakos, wakiwaleta pamoja wanawake wapatao 10,000 wenye ndoto za uongozi. Lengo lao kuu ni kuhakikisha wanawake zaidi wanachaguliwa katika nafasi za uongozi na kuwa na sauti katika maamuzi muhimu.