Kongamano la mahakama ya upeo kukamilika leo

  • | Citizen TV
    615 views

    Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya kongamano la kila mwaka la mahakama ya upeo. Kongamano hilo limewaleta pamoja majaji wakuu na maafisa wengine wa mahakama kuchambua hatua zilizopigwa kuimarisha utendakazi katika idara ya mahakama. aliyekuwa jaji mkuu dkt. willy mutunga anazungumza kwa sasa.