Kongamano la makadinali litakalomchagua Papa mpya kuandaliwa Mei saba

  • | Citizen TV
    538 views

    Kongamano la faragha la makadinali litamchagua Papa mpya atayeongoza kanisa katoliki Mei saba, kufuatia kifo cha Papa Francis