11 Sep 2025 10:23 am | Citizen TV 411 views Duration: 10:33 Kongamano la pili kuhusu msongo wa mawazo kwa watoto na vijana linang'oa nanga rasmi hii leo huko mombasa. Kongamano hilo linalenga kuweka mikakati na suluhu za kupunguza visa hivyo katika jamii.