kongamano la sita la kilimo na uwekezaji wa Uchumi wa baharini na maziwa kuandaliwa Taita Taveta

  • | Citizen TV
    86 views

    Wakazi na jamii ya wafanyabiashara Kaunti ya Taita Taveta watapata fursa ya kuonyesha mikakati wanayofanya kupitia uvumbuzi na uwekezaji wa kibiashara kwa wawekezaji.