Koome ataka usalama wa maafisa wa mahakama uimarishwe

  • | KBC Video
    20 views

    Jaji mkuu Martha Koome amejitolea kuhakikisha kwamba usalama wa majengo ya mahakama, majaji, maafisa na wafanyakazi wa idara ya mahakama wanapotekeleza majukumu yao umedumishwa. Akiongea wakati wa ibada maalum iliyoandaliwa katika mahakama ya Makadara kumuomboleza hakimu mwandamizi Monica Kivuti, ambaye aliuawa akiwa kazini juma lililopita, Koome alikariri kwamba kisa hicho cha kuhuzunisha kimebainisha mianya ya kiusalama kwenye idara ya mahakama ambayo imedumu kwa muda mrefu, hali ambayo alisema sharti ishughulikiwe. Mwanahabari wetu Ruth Wamboi alihudhuria hafla hizo mbili zilizoandaliwa katika mahakama za Milimani na Makadara, na kutuandalia taarifa ifuatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive