Korti: Agizo la kulipa karo kwa e-Citizen linakiuka katiba

  • | Citizen TV
    140 views

    Mahakama kuu imeamua kwamba agizo la serikali la kulazimisha wazazi kulipa karo kupitia jukwaa la e-Citizen ni kinyume cha katiba