Koskei asema serikali inakumbatia teknolojia ya kisasa

  • | Citizen TV
    112 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Kosgei anasema serikali iko mbioni kukumbatia teknolojia mpya ili kuboresha huduma kwa wananchi na kukabiliana na uhalifu mitandaoni ikiwemo ukiukaji wa data