Koskey ataka tume za PSC na SRC kushirikiana ili kuwianisha mishahara

  • | KBC Video
    3 views

    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei ametoa wito kwa tume ya utumishi wa umma na tume ya mishahara na marupurupu kubuni mwongozo utakaoimarisha utoaji huduma na kushughulikia tatizo la gharama ya juu ya ulipaji mshahara. Akizungumza wakati wa kikao cha pamoja cha mashauriano na viongozi wa tume hizo mbili, Koskei alitoa wito kwa tume hizo mbili kutekeleza majukumu yao kadri ya uwezo wake na kusawazisha mishahara huku yakijitahidi kujenga ushirikiano mwema.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive