Kuapishwa kwa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump

  • | BBC Swahili
    615 views
    Rais Mteule wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa taifa hilo Jumatatu, Januari 20. BBC Swahili itakuletea matangazo haya mubashara kupitia Kurasa zetu za mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook, Youtube na tovuti ya BBCSwahili pamoja na Dira ya Dunia radio na TV. @loki_omi anaelezea zaidi. #bbcswahili #marekani #whitehouse Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw