Kubanduliwa kwa spika Taita Taveta

  • | Citizen TV
    415 views

    Wiki moja tu baada ya kubanduliwa kwa spika wa bunge la kaunti ya TaitaTaveta wisdom kazungu mwamburi kwa madai ya kutowajibika na wawakilishi wadi kukosa imani knaye, wakaazi, wanaharakati na baadhi ya viongozi wameisuta hatua ya mawakilishi wadi hao kwa kile wananchokiita kama njama ya kutetea maslahi yao na sio ya mwananchi.Wakizungumza mjini voi, wanasema kuwa misingi iliyotumiwa kumwondoa kwa spika huyo haina uzito wowote.