Kudorora kwa usalama : Wakazi wa Ndhiwa, Homa Bay wahofia usalama wao

  • | KBC Video
    8 views

    Wananchi katika eneo la Kwabwai huko Ndhiwa kaunti ya Homa Bay wanahofia maisha yao kutokana na ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika eneo hilo. Wahalifu wanadaiwa kuwalenga wenye biashara na mifugo. Wakazi hao wanadai kuwa visa hivyo vinachochewa na vijana ambao wamejiingiza kwenye uhalifu kwa kukosa ajira. Wuto umetolewa kwa maafisa wa usalama kuimarisha doria ili kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive