Kukomesha saratani :Wanawake wahimizwa kufanyiwa uchunguzi

  • | KBC Video
    36 views

    Wanawake walio na umri kati ya miaka 25-65 wamehimizwa kufanyiwa uchunguzi wa saratani ya kizazi ili kugundua mapema iwapo wanaugua ugonjwa huo huku wasichana wa umri wa kati ya miaka 10-14 wakihimizwa kupata chanjo dhidi ya virusi hivyo yaani HPV.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive