Kukuza lugha ya Kiswahili.Wanazuoni na wanafunzi watakutana nchini Uganda.

  • | KBC Video
    15 views

    Wadau wa tasnia ya Kiswahili wanahimiza juhudi za pamoja baina ya nchi nane wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukumbatia na kukuza matumizi ya lugha ya Kiswahili ili kubadili mtazamo kuhusu matumizi ya Kiswahili katika kanda hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive