Kuna wasiwasi kuhusu mpito wa wanafunzi kutoka gredi ya tisa

  • | Citizen TV
    101 views

    Mafunzo hayo yanahusu jinsi ya kuendeleza mfumo wa elimu wa sekondari ya juu kwa wanafunzi wa Gredi ya 9, wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2026