Kundi la kina mama kutoka kaunti ya Bomet wakashifu ongezeko la visa vya unajisi na ubakaji

  • | Citizen TV
    568 views

    Kundi la kina mama kutoka kaunti ya Bomet wamekashifu ongezeko la visa vya unajisi na ubakaji hasa msimu huu ambapo wanafunzi wako likizoni