Kundi la kina mama wakongwe la 'Mutei Grannies FC' lasakata kandanda

  • | Citizen TV
    342 views

    Hebu Tafakari haya...Unafika katika uwanja wa kandanda, na kuwakuta Kina mama wenye zaidi ya umri wa miaka sitini wakifanya mazoezi ya kandanda...Katika shule ya msingi ya Mutei kaunti ya Uasin Gishu, kuna kikundi cha kina mama baadhi yao wakiwa na zaidi ya umri wa miaka 80 ambao hucheza kandanda. Umaarufu wao umewapa nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Afrika Kusini mwezi ujao.