Kundi la wanawake la Oasis Ladies latoa msaada kwa watoto yatima

  • | Citizen TV
    140 views

    Kundi la wanawake la Oasis Ladies kwa ushirikiano na Kituo cha Watoto cha Good Hope Islamia, kilitoa msaada wa chakula na vifaa vya nyumbani ili kuwasaidia watoto yatima. Aidha, wanawake hao walishiriki chakula cha mchana na watoto hao, huku wakiwapa upendo na kuwafanya kujihisi kama watoto wengine. Steve Shitera na taarifa hiyo.