Kundi la watu lavamia kanisa likitaka 'kumtia adabu' kasisi

  • | K24 Video
    56 views

    Mchungaji mmoja kutoka kanisa la Christ impact lililoko Ruiru, kaunti ya Kiambu, ako kwenye hatari baada ya kutuhumiwa kuwalawiti wanaume kanisani mwake hii ni ikiwemo wachungaji wenzak. Kisa hiki kimeibua vurugu baada ya vijana kuvamia kanisa hilo na kuvuruga ibada wakiandamana ili kumwanika hadharani kuhusiana na maovu haya ya utovu wa nidhamu