Skip to main content
Skip to main content

Kuongezwa kwa polisi kwaimarisha usalama Samburu

  • | Citizen TV
    556 views
    Duration: 3:29
    Ukosefu wa usalama katika kaunti ya Samburu ni suala ambalo limewasumbua wakazi kwa miaka mingi huku serikali ikitafuta mbinu za kurejesha usalama katika eneo hilo kwa miaka mingi. Kuongezwa kwa doria za usalama na kuajiriwa kwa polisi zaidi wa akiba kumeonekana kuzaa matunda huku wakazi wakishuhudia kupungua kwa uvamizi wa mara kwa mara. Boniface Barasa anaangazia suala la usalama kaunti ya Samburu