KUPPET Samburu inataka TSc kuangazia maslahi ya Walimu

  • | Citizen TV
    361 views

    Chama cha walimu wa shule za upili nchini KUPPET Tawi la Samburu, kimelalamikia kutopandishwa vyeo kwa walimu wa Kaunti hiyo,hasa manaibu walimu wakuu wakihudumu Kwa muda mrefu bila kupandishwa vyeo.