Kutana na dereva 'bodaboda' mwenye ulemavu wa kusikia Tanzania

  • | BBC Swahili
    324 views
    Licha ya ulemavu wake wa kutosikia, Ally Jumanne amekuwa dereva wa bodaboda kwa miaka 11 akiendesha Maisha yake na familia yake. Unaweza kujiuliza anawasilianaje na abiria wake?na je usalama wake na abiria barabarani ukoje? Yusuph Mazimu amemtembelea huko Dodoma na kuandaa taarifa hii. #bbcswahili #tanzania #dodoma