Kutawazwa kwa mfalme Charles III

  • | BBC Swahili
    677 views
    Mfalme Charles III anatarajiwa kutawazwa ramsi tarehe 6 Mei 2023 huko London nchini Uingereza Je sherehe hizi za kutawazwa mfalme Charles III zitakuwa na tofauti gani? Ambwene anaelezea. #bbcswahili #uingereza #mfalmecharles