Kutokuwepo Kwa Muturi Katika Kikao Cha Baraza La Mawaziri Kwaibua Cheche

  • | TV 47
    1,052 views

    Kutokuwepo Kwa Muturi Katika Kikao Cha Baraza La Mawaziri Kwaibua Cheche

    Viongozi wa kisiasa wakiongozwa na kiongozi wa chama cha wiper kalonzo musyoka wamemtaka waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi kukaa imara afisini.

    Hii ni baada ya Muturi kutohudhuria kikao cha baraza la mawaziri katika ikulu ndogo ya Kakamega.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __