'Kuwa na uhusiano na mtu mwenye maambukizi ni kujinyanyapaa'

  • | BBC Swahili
    1,158 views
    Doreen Odemba ni binti wa kitanzania anayeishi na VVU kwa mwaka wa 30 sasa, amezungumza na @martha_saranga kuhusu mikasa mbalimbali aliyopitia safari yake ya kuishi na maambukizi ya VVU Unaweza kutazama mahojiano haya kwa kina hapa hapa YouTube, Tafuta Waridi wa BBC #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw