'Kuwapa Wahadzabe pombe kali ni kinyume kabisa na maadili'

  • | BBC Swahili
    4,436 views
    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi akikemea kitendo cha kuwapa pombe kali watu wa jamii ya Wahadzabe. #bbcswahili #tanzania #wahadzabe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw