9,527 views
Duration: 28:10
Maelfu ya raia wa Madagascar wamekuwa wakiandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kwa zaidi ya wiki moja sasa, katika kile kinachoelezwa kuwa wimbi kubwa zaidi la maandamano kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa zaidi ya miaka 15. Kilichoanza kama malalamiko dhidi ya upungufu wa bidhaa za msingi kimekua kwa kasi na kuwa changamoto kubwa kwa Rais Andry Rajoelina, ambaye yuko madarakani kwa mara ya pili tangu mwaka 2018.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw