Kwa nini jukumu la kujenga nyumba huwachiwa wanawake katika jamii ya Maa

  • | Citizen TV
    647 views

    Kwa jamii ya Maa, jukumu la ujenzi wa nyumba huwa la mwanamke, na ni tamaduni ambayo imeendelezwa miongoni mwa watu wa jamii hii. Na tamaduni hii inapoendelezwa, ni mwiko Kwa Mume wa nyumba kunyeshewa hasa majira ya usiku endapo paa ya nyumba itakuwa inavuja. Bonface Barasa anatuchorea picha ya tamaduni hii ya watu wa jamii ya Maa