Kwa nini mlipuko wa kipindupindu nchini Zambia ni mbaya sana?

  • | BBC Swahili
    315 views
    Kipindupindu ni ugonjwa hatari lakini unaotibika, Je ni kwanini ugonjwa huu unaoweza kuzuiwa unaua watu nchini Zambia? Zaidi ya watu milioni moja wanakadiriwa kuambukizwa kila mwaka. Afghanistan na Syria zimekumbwa na mlipuko huu lakini umeathiri sana katika baadhi ya nchi za Afrika. Miongoni mwa nchi za zinazopambana na mlipuko huu ni Zambia, ambayo imezindua kampeni kubwa ya chanjo hivi karibuni. #bbcswahili #zambia #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw