Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini wapenzi wachunguzane simu?

  • | BBC Swahili
    2,994 views
    Duration: 1:57
    Simu ya mkononi imekuwa sehemu muhimu ya mawasiliano yetu kila siku. Lakini sasa, kifaa hiki ndicho kinachotajwa kama sababu kubwa na rahisi zaidi ya kuvunjika kwa ndoa na mahusiano. Tafiti zinaonyesha kwamba kiasi cha talaka kinaongezeka kila uchao, hasa kwa watu wa umri wa makamo—na mara nyingi chanzo ni kilekile: simu ya mwenza. Kilichoanza kama chombo cha faraja na kuwaleta watu karibu, kwa wengine kimegeuka kuwa sumu ndani ya ndoa. Kwa nini watu wachunguzane simu? - - #bbcswahili #simu #mahusiano #ndoa #tałaka Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw