Kwanini umeme wa kaskazini mwa Tanzania ununuliwe Ethiopia?

  • | BBC Swahili
    752 views
    Mipango ya Tanzania ya kununua umeme kutoka Ethiopia imezua mjadala nchini humo. - Tanzania ikiwa inazalisha umeme wa ziada, inalazimika kununua umeme nje ya nchi maalum kwa ajili ya mikoa ya kaskazini. - Lakini kwanini Tanzania inanunua umeme huo na haitumii umeme wa ndani Mwandishi wa BBC Munira Hussein na maelezo zaidi; Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw