- 460 viewsFARIDA, SI JINA LAKE KAMILI, ANA UMRI WA MIAKA 25 NA ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI. ALIAMBUKIZWA VIRUSI HIVYO KUPITIA UZAZI LAKINI HALI HII ILIYAFANYA MAISHA YAKE KUTOKOTA KWENYE JUNGU LA KASHFA, KUTENGWA NA KUDHALILISHWA. HALI YAKE SI TOFAUTI NA YA MERCY, NORAH NA LYDIA AMBAO WOTE NI WAKAAZI WA NAIROBI. WAMETESEKA KUTOKANA NA UBAHALULI WA WATU WENGINE KATIKA JAMII IKIWEMO JAMAA WAO AMBAO LICHA YA KUPEVUKA KUTOKANA NA KUWA NA UFAHAMU WA VIRUSI VYA UKIMWI, WANA AMINI WATAAMBUKIZWA VIRUSI HIVI KUTOKANA NA KULA KWENYE MEZA MOJA PAMOJA NA IMANI NYINGINEZO POTOVU. SHIRIKA LA NAYA KENYA, LINAENDELEZA MRADI AMBAO UNABADILI MAISHA YA VIJANA HAWA, UKIWARUHUSU KUJIKUBALI NA KUTANGAMANA KUBADILISHANA MAWAIDHA NA KUTIANA MOYO. ELIUD MUTWIRI ANAPAKUA YOTE KWENYE MAKALA HAYA #kutv #miziziyahabari #hiv #hivawareness #hivaids #ukimwi #endthestigma KUTV is a Kenya Digital Television that brings you up to date News, entertaining, educative and informative programs. FACEBOOK: https://www.facebook.com/kutv.kenya TWITTER: https://twitter.com/KUTVKenya WEBSITE: http://kutv.co.ke/
KWAO UKIMWI SI ZIMWI: VIJANA WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI WAWEZESHWA KUJIKUBALI
- 24 Nov 2024 - The Baku accord raises the amount of money that developed countries must provide to at least $300 billion per year by 2035.
- 24 Nov 2024 - Mudavadi has said all Member States of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) should continue supporting the peace restoration processes in conflict prone areas including but not limited to Eastern Democratic Republic of Congo,…
- 24 Nov 2024 - A team headed by Sub-County Criminal Investigations Officer (SCCIO) Matinyani, along with Officer Commanding Station (OCS) Matinyani and other officers, visited the scene.
- 24 Nov 2024 - Forty-one cadavers were found at Pa Nakhon Chaibovorn monastery in Thailand's Phichit province on Saturday, a senior police officer told AFP.
- 24 Nov 2024 - Speaking at a Sunday worship and thanksgiving service at the African Inland Church (AIC) Mission in Korr, Laisamis Constituency, Marsabit County, DP Kindiki urged citizens to register with the newly established Social Health Authority (SHA) to take…
- 24 Nov 2024 - President Ruto recently talked of proliferation of fake news
- 24 Nov 2024 - Leicester City sack manager Steve Cooper
- 24 Nov 2024 - The operation, led by Officer Commanding Station (OCS) Kosele, began after reports of people attempting to sell police equipment in Oyugis Town.
- 24 Nov 2024 - The Deputy President spoke during a church service in Marsabit on Sunday.
- 24 Nov 2024 - The Authority urged Kenyans to beware of the job advert.