Kwaresima: Nini kiini cha Jumatano ya majivu?

  • | BBC Swahili
    1,192 views
    Wakristo wa baadhi ya madhehebu mbalimbali kote duniani wanaadhimisha mwanzo wa mfungo wa siku 40 wa maombi na toba, Jumatano ya majivu siku maalum ilitengwa kuazimisha mwanzo wa Kwaresima, @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #kwaresima #jumatanoyamajivu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw