KWS imetakiwa kumwasilisha Odhiambo mahakamani

  • | Citizen TV
    1,781 views

    Hakimu Julias Nangea anatarajiwa kutoa mwelekeo katika kesi ya kutoweka kwa mvuvi mmoja, Brian Odhiambo, anayedaiwa kupotea baada ya kukamatwa na maafisa wa huduma kwa wanyamapori katika mbuga ya Nakuru siku kumi na tatu zilizopita.