Leseni ya kampuni ya Super Metro yafutiliwa mbali super metro

  • | KBC Video
    2,894 views

    Halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani imetoa wito kwa huduma ya polisi kwa taifa kuyachukulia hatua magari yanayomilikiwa na kampuni ya Super Metro kwa kukiuka agizo la kusimamishwa kwa leseni ya kuhudumu ya kampuni hiyo. Halmashauri hiyo ilisitisha kwa muda leseni ya kampuni hiyo ikisema magari ya kampuni hiyo hayana vithibiti mwendo na yanaendeshwa na madereva ambao hawajahitimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive