Ligi ya chipukizi Machakos

  • | Citizen TV
    92 views

    Shirikisho la kandanda nchini, Tawi la Machakos kwa mara ya kwanza limezindua rasmi ligi ya vijana walio chini ya umri wa miaka kumi na saba, kumi na tano na kumi na mitatu mtawalia maarufu FKF Youth Elite League.