LSK yadai Kanja na Amin wamekiuka maagizo ya mahakama

  • | KBC Video
    101 views

    Chama cha wanasheria humu nchini-LSK kinataka inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja pamoja na mkurugenzi wa upelezi wa jinai-DCI Mohammed Amin kuwajibishwa kibinafsi kuhusiana na madai ya utekaji nyara humu nchini. Mbele ya jaji wa mahakama kuu Bahati Mwamuye katika kesi nyingine inayohusisha madai ya utekaji nyara, chama cha LSK pamoja na walalamishi wengine waliwashtumu maafisa hao wawili wakuu wa usalama kwa kubeza maagizo ya mahakama kwa kukosa kufika binafsi mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive