Lydia Otieno na Lydia Nyaboke wameibua washindi wa Jipange na Viusasa

  • | Citizen TV
    199 views

    Mwanafunzi wa chuo kikuu kutoka Homa Bay sasa amekuwa milionea baada ya kushinda shilingi milioni moja kwenye shindano la Jipange na Viusasa.