Maadhimisho ya kitaifa yataandaliwa siku ya Alhamisi

  • | Citizen TV
    109 views

    Tukisalia kwenye masuala ya matibabu ya figo, katika kaunti ya Neyri, Samuel Maina mwenye umri wa miaka 53 amekuwa akiugua ugonjwa wa Figo Kwa miaka sita sasa tangu mwaka wa 2019