Maadhimisho ya Siku ya Utalii I Wakenya wamiminika katika mbuga za kitaifa baada ya ada kuondolewa

  • | KBC Video
    17 views

    Maelfu ya Wakenya leo walimiminika katika mbuga za kitaifa na hifadhi za wanyama pori kote nchini kuadhimisha Siku ya Utalii Duniani. Na kama njia ya kipekee ya kuadhimisha siku hiyo, serikali iliondoa ada za kiingilio katika mbuga na hifadhi zote zinazosimamiwa na Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini,KWS, hatua inayolenga kukuza uhamasishaji wa uhifadhi na kuhimiza Wakenya kujionea na kufurahia bayoanuwai nchini. Na jinsi mwanahabari wetu John Kahiro anavyosimulia Wakenya walijitokeza kwa wingi kujionea fahari asilia ya taifa hili, bila malipo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive