Maafisa 183 wa polisi kupandishwa vyeo

  • | KBC Video
    251 views

    Tume ya kitaifa ya huduma ya polisi inawasaili mainspekta wakuu wa polisi 183 wanaowania nafasi ya naibu msimamizi wa polisi. Usaili huo ulioanza siku ya Jumanne wiki hii, utaendelea hadi juma lijalo kwenye afisi za tume hiyo katika jumba la CBK. Mahojiano hayo yanafuatia kozi za mafunzo ya juu zinazonuiwa kuwaandaa maafisa hao kwa majukumu ya uongozi katika huduma ya polisi, kitengo cha polisi wa utawala pamoja na idara ya upelelezi wa jinai.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive