Maafisa tabibu waandamana Eldoret

  • | Citizen TV
    164 views

    Maafisa tabibu katika hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi wanaandamana hii leo jijini Eldoret , kulalamikia kutengwa kwenye bima ya afya SHA. Hali hiyo imetatiza Shughuli za matibabu katika hospitali hiyo huku wagonjwa wakihangaika. John Wanyama anaungana nasi mubashara kwa taswira kamili.