Maafisa wa DCI hatimaye wamezuru eneo Elburgon Richard Otieno alikouwawa

  • | Citizen TV
    706 views

    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu sasa inasema itaanzisha uchunguzi wao kuhusiana na kifo cha mwanaharakati Richard Otieno aliyeuawa jumamosi wiki jana.