Maafisa wa EACC wamemkamata afisa wa maendeleo Malindi

  • | Citizen TV
    208 views

    Maafisa wa tume ya kupambana na ufisadi nchini - EACC- wamemkamata na kumshtaki afisa mkuu wa maendeleo kaunti ndogo ya Malindi na kufikishwa mahakamani kwa madai ya kupokea hongo ya shilingi 24,000