Maafisa wa kliniki na maabara wasema mgomo wao ungalipo

  • | Citizen TV
    346 views

    Muungano wa maafisa kliniki pamoja na maafisa wa maabara wameishtumu serikali kuu na serikali za kaunti kwa kukosa kutilia maanani matakwa yao licha ya kugoma kwa zaidi ya mwezi mmoja. Maafisa wa maabara wanalalamikia malipo duni na kutotambuliwa kama wahudumu wengine wa afya .