Maafisa wa nyanjani wapokezwa baiskeli Kwale

  • | Citizen TV
    183 views

    Zaidi ya maafisa 200 wa watoto wa nyanjani katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wamepata baisikeli za kuwasaidia kusafiri wakati wa harakati zao za kuwaokoa watoto wanaodhulumiwa vijijini.